Call for Abstracts
November 27, 2025
Call for Abstracts
November 27, 2025

'NGOMA HUANZA NA LELE'

Artist Interventions

Date: Saturday 11/10/2025

Venue: Kisuma Street, Mapinga Bagamoyo

Time: 11.00 AM to 5.00 PM

Mwaliko

Uhenga Collective inafuraha ya kuualika umma kwenye maonyesho ya ‘Ngoma Huanza na Lele’

Wasanii:
Diana Kamara
Djumey Aloyce
Faith Andrew
Getrude Malizeni
Irene Rugakingira

Tarehe: Jumamosi 11/10/2025

Mahali: Mtaa wa Kisuma, Mapinga Bagamoyo

Muda: Kuanzia Saa 7 mchana hadi Saa 11 Jioni

MADA YA MJADALA: LELEMAMA NA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA SIASA KABLA NA BAADA YA UHURU

WANAJOPO WA RIKA TATU:  MARIE SHABA, MARY NDARO, FAITH ANDREW,

Wasanii washiriki Djumey, Demere na Nanguma wataonyesha pia kazi zao. Kutakuwa na burudani mchanganyiko na mazoezi ya utimamu wa mwili na akili. 

BASI LA KUWASAFIRISHA WAGENI WENYE UHITAJI LITAONDOKA MWENYE KWENYE KITUO CHA MAFURA PUMA SAA 4 KAMILI ASUBUHI.

Invitation

Uhenga Collective has the pleasure to invite the public to ‘Ngoma Huanza na Lele’ art exhibitionin

Featuring Artists:
Diana Kamara
Djumey Aloyce
Faith Andrew
Getrude Malizeni
Irene Rugakingira

Date: Saturday 11/10/2025

Venue: Kisuma Street, Mapinga Bagamoyo

Time: 11.00 AM to 5.00 PM

Topic for Public Talk: Lelemama and women’s participation in politics before and after independence

Intergenerational Panel: Marie Shaba, Mary Ndaro, Faith Andrew

Associate creatives Djumey, Demere na Nanguma will also exhibit and perform. The event will also have a variety of entertainments and wellness sessions. 

There will be a bus to transport guests in need of transport leaving Puma Service at Mwenge from 10.00 AM.